Toka kwa Mama Kwenda kwa Mtoto

Steps for the Future Presents: Mother to Child (Kiswahili)

Uzuiaji wa maambukizi ya VVU toka kwa mama kwenda kwa mototo unaonyeshwa dhahiri katika makala hii inayofuatilia maisha ya wanawake wawili wajawazito ambao wameathirika na VVU na waliowekwa katika mpango wa majaribio wa madawa ya kurefusha maisha jijini Soweto. Filamu hii inaweka wazi hofu na matumaini yao kuhusu afya za watoto wao pamoja na ugumu wa kufahamisha familia na wapenzi wao kuhusu hali zao.

—————-

The prevention of mother-to-child transmission of HIV come to life in this documentary, which follows the lives of two HIV positive pregnant women on a drug trial in Soweto. It conveys vividly their fears and hopes concerning the health of their babies, as well as their experiences of disclosure to their family and partners.

 

Maoni: