Tatu Chafu (Bongo Movie)

Dili la madawa ya kulevya linaharibika na kufyatua Marafiki Watatu, Wauza Madawa, Wakabaji na Wauza Madini ya Magendo kukutana kwenye matukio yasiyoeleweka, yote sababu ya madawa ya kulevya, pesa, Tanzanite na Pete.

Bofya link hii kuangalia Part 1 :https://www.youtube.com/edit?o=U&video_id=env7UyGGENE
BongoHoodz pictures presents: Tatu chafu

Subscribe: http://goo.gl/cR0mA
Facebook: http://bit.ly/2A6nDNP

 

Maoni: