Tangazo la Sunshine

Lufu ni kijana msomi na mwenye hasira. Hakubaliki kazini kwasababu ya ulevi, madawa ya kulevya na wanawake ambao wamemsababishia matatizo mengi. Akiwa na miaka 22 tu tayari anatumia madawa ya kupunguza makali ya virusi vya ukimwi na kujiingiza kwenye maisha ya uhalifu mdogo mdogo.

Lufu anatoka kwenye familia nzuri na yenye upendo. mama yake, mama Eva ni mwanamke anayefanya kazi kwenye mgahawa kwa bidii na mtoto wake Eva

Mama Eva anajua maisha ya Lufu yanategemea kula chakula chenye afya, na kuishi kwa kutumia dawa zake. Anawasiwasi kuhusu mtoto wake na dhiki inamuua.

Wakati Mama Eva amezimia na kushauriwa kwamba anahitaji upasuaji wa moyo wakati familia yake ni duni. Lufu anaamua kuliweka jambo hili mikononi mwake mwenyewe. Afanye nini ili apate fedha kwa ajili ya mahitaji ya familia na kuokoa maisha mama yake.

Hii ni hadithi ya upendo kati ya mama na mtoto wake.

——————————-

Lufu is educated and smart but restless and angry. He can’t hold down a job and is easily distracted by drink, dope and women, which have landed him nothing but trouble. At just 22 he’s already on ARVs and slipping into a lifestyle dominated by petty-crime.

Lufu is from a good and loving family. His mother, Mama Eva, a hard working entrepreneur, runs a successful restaurant with his sister Eva.

Mama Eva knows Lufu’s survival depends on healthy eating, living and adherence to his medication. She is worried sick about her son. And the stress is killing her.

When Mama Eva collapses and advised that she needs heart surgery the family cannot afford, Lufu decides to take the matter in his own hands. How far will he go to secure the cash the family needs to save his mothers life?

A story of unconditional love between mother and son.

 

Maoni: