Tangazo la Mdundiko

Mzee Njimba na Mzee Kondo ni marafiki tangu utotoni, pia wanamahusiano yanatokana na ndoa ya watoto wao. Kwa bahati mbaya watoto wao walifariki na kumuacha Kondo amuangalie mjukuu wake Chumi.

Njimba ni mtu mwenye kiburi anajulikana kwa uwezo wake wa kupiga ngoma na kuwapanga wachezaji. Pamoja na Hondomola yenye sifa mbaya inayoshawishi watu kuwa na mahusiano zaidi ya mpenzi mmoja.

Wakati Kondo anapata umaarufu wa ngoma ya Hondomola, Njimba na rafiki zake walimfukuza Kondo na familia yake pale kijijini.

Wakati huo Njimba akiendeleza ngoma yake, watu walianza kuathirika kwa kushiriki kwao ngoma ya Hondomola. Njimba anajaribu kuwatibu kwa tiba za jadi ambazo hata hivyo hazikusaidia

Itachukua muda kwa Chumi na kizazi kipya kufahamu jinsi ya babadiliko ya tamaduni yanavyoweza kutitishia maisha ya jamii yao.

Swahili Bongo Filamu

——————-

Mzee Njimba and Mzee Kondo, friends since childhood are also related through the marriage of their children. Unfortunately their children passed away leaving Kondo to look after their shared grandson Chumi.

Njimba is an arrogant, belligerent man known for his abilities as a drummer and arranger of dances (Ngoma), including the notorious Hondomola, where multiple dance partners are encouraged.

When Kondo object to the increasing popularity and frenzy of the alcohol fueled Hondomola, Njimba and his thugs have Kondo and family chased out of the village.

Over time Njimba’s drumming takes its’ toll on the villagers, who are weakened and ailing after participating in Hondomola. Njimba’s attempts to treat them with traditional cures (being the village witch doctor as well) is ineffective.

It will take Chumi and a new generation of traditional drummers, to appreciate how corrupting the cultural values of Ngoma has threatened the survival of their community.

 

Maoni: