Usiku wa kuamkia Februari 20, Swahiliwood waliandaa uzinduzi wa Filamu tatu Network, Mdundiko na Sunshine, Uzinduzi wa filamu hizi tatu ambazo zitaingia soko mwishoni mwa mwezi huu zikisambazwa na kampuni mpya ya Proin Promotions.
SUBSCRIBE: http://goo.gl/cR0mA
Hongera sana!