Swahiliwood Introduction

Swahiliwood ni chaneli ya video ya kwenye mtandao iliyo rasmi kwa vipindi vya kiswahili. Kuanzia documentary mpaka maigizo, ucheshi na vipindi vingine vya runinga. Tunakuletea kiwango cha juu cha ubora wa burudani za Kiswahili kutoka Afrika Mashariki.

SUBSCRIBE: http://goo.gl/cR0mA

Facebook: http://www.facebook.com/swahiliwood

 

Maoni: