Supermodel – Part 2

Mwana mitindo Sasha ambae anajitahidi kwa udi na uvumba kuikomboa ndoa yake pale anapo tengana na mumewe Brian na wakati huo huo akisumbuliwa na tatizo  la kubugia madawa ya kulevya. hapo ndipo anapo pigana kuchagua kipaombele chake. KARIBU.

 

Maoni: