Siri ya Mtungi – Sehemu ya 8

Mke wa kwanza wa Mzee Kizito, Farida, hafurahishwi hata kidogo na ujio wa bi harusi, Nusura, na anafanya juhudi zote kutoonyesha hali hiyo.

Cheche anafanya kosa jingine kubwa pale anapoamua, binafsi, kumpelekea Lulu, picha zake kwenye nyumba yake ya ufukweni. Pamoja na dhamira yake safi, jambo moja linazua jingine na mwisho wa yote pikipiki yake inamgomea kuwaka na kujikuta kachelewa kuwahi kwenye uzao wa mtoto wake!

———

Mzee Kizito’s first wife, Farida, is not happy at all with the incoming bride, Nusura, and she makes attempt to hide it.

Cheche makes another miscalculation when he decides to take Lulu’s photographs personally to her beach house. Despite all his best intentions, one thing leads to another… and when his motorbike won’t start, he is late for the birth of his own child!

 

One Response to Siri ya Mtungi – Sehemu ya 8

  1. Moses says:

    mnafanya vizuri sana nimefurahia sana vipindi vyenu. Moses

     

Maoni: