Siri ya Mtungi – Sehemu ya 4

Fikra pekee inayomsumbua Kizito ni jinsi atakavyoweza kumwoa Nusura, binti mrembo wa mmiliki wa mabanda, Masharubu. Mjomba Mawazo ana wakati mgumu wa kujadiliana na Masharubu mwenye tamaa ambaye yuko tayari kumwozesha binti yake kwa mahari kubwa mno.

Cheche bado inamuwia vigumu kuweka uwiano kati ya biashara yake na familia, na muda wa Cheusi unapotezwa kwa kuwaangalia watoto wake wawili watundu na mimba yake. Cheche anapata faraja kwa Tula kwenye Kigrosari chake, huku baadae studio yake ‘ikisambaratishwa’ na shangingi linalojiita Lulu linapovamia toka kusikojulikana na kudai apatiwe huduma!

—————————–

All Mzee Kizito can think of is how he is going to marry the beautiful Nusura, daughter of the slumlord, Masharubu. Uncle Mawazo has the unhappy task of dealing with greedy Masharubu who is prepared to marry off his daughter for the highest possible price.

Cheche still finds it hard to balance his business and family, and Cheusi’s time is taken up looking after two active young kids and her pregnancy. Cheche seeks solace with Tula at her kigrosari, and then has his studio turned upside down when a shangingi called Lulu turns up out of nowhere and demands service!

 

Maoni: