Siri ya Mtungi – Sehemu ya 26

Msimu wa pili unamwonesha Duma akienda kwenye tukio la mwisho na Golden.

Mzee kizito ameschukia kuona Badi anamwitaji Sabrina kwa muda mwingine wa mazoezi ya taarabu, Nusura anahamasisha Sabrina aoneshe kipaji, Ghafla Nusura anajiskia uchungu wa kujifungua, Mzee Kizito anapo harakishwa kwenye hospitali, Duma na Golden wamevamiwa wanarudi mjini. Kuna vilio vingi. Kwa baati Duma anavyo fika hospitali na mtoto ndio anazaliwa,katika studio za mtungi Umeme unakatiaka na kusitisha zoezi zima la onesho la mitindo. Kwenye Giza Cheche anagusana na kitu ambacho wamekua wakigombania na sharima kwa muda mrefu sana ni ufunguo wa maisha yake ya baadae.
Wakati huo huo Sabrina anaimba kwa upendo na tumaini jema kwa kizazi kipya.

SUBSCRIBE: http://goo.gl/cR0mA

 

8 Responses to Siri ya Mtungi – Sehemu ya 26

 1. Rahma Hatim says:

  Sasa jamani mbona hamtuwekei siri za mtungi nyengine,au ndo imeishia hapo,na imeishia vizuri huwa mnatuburudisha sie watu wa nje kuangalia kwenye,pls kama kutakua na zengine basi mtuwekee kwenye youtube,asante

   
 2. bwata says:

  we need sehemu ya tatu.inatoka lin???

   
 3. Rasaya khan says:

  Siri ya mtungi iko poa sana tena sana vipi kuusu mwendelezo???????

   
 4. oddo simime says:

  iko njema sanaaaaaa iii kituuu

   
 5. Dani kishimbo says:

  Sehem ya 27 inatoka lini

   
 6. jamani tuna itaji siri ya mtungi tuna mmiss sana checheeeee

   
 7. Sehem ya tatu inatoka lini wadau?

   

Maoni: