Siri ya Mtungi – Sehemu ya 25

Aibu ya Farida imezidi na anafungasha mizigo na Mzee kizito anafurahia hilo tendo. Mama yake cheche anaingilia kila swala la mwanae anamlaumu kwanini mkewe hazai mototo mwingine? Anamlaumu cheche kwa kuto mfunza mkewe njia za kua mke bora. Waka mama cheche anamfunza mmoja wa wateja wa cheche studio jinsi kutumia bunduki na kua Cowboy chupuchupu amuue mtu. Cheche lulu wanafarakana na hata kuumiza hisia za kijana mpole Shoti inauma lakini inafanya Ndoa ya Cheche na Cheusi Kunoga.

Bado Duma anandoto za kapata vingi zaidi: Bado anamtaka Nusura na anahitaji tukio la mwisho litakalo mlipa na kutimiza ndoto za mdogo ake Stephen.
SUBSCRIBE: http://goo.gl/cR0mA

 

Maoni: