Siri ya Mtungi – Sehemu ya 24

Cheche na mtandao wa mapenzi vinapamba moto. Anapata ujasiri wa kwenda kupima visuri vya UKIMWI. Mzee Kizito anapata changamoto ya maisha yake baada ya kusalitiwa na farida, Ulimwengu wa Farida unateketea baada ya kunyanyaswa na kudhalilishwa na mganga wa kienyeji Kunguru. Anafukuzwa na Mzee Kizito na kuomba msamaha ili kupata nafasi ya pili ya kutenda mema. Mzee kizito anatakiwa kufanya maamuzi ya Busara ya kumtunza maadili ya binti yake au amwache akaoneshe kipaji chake kwenye tamasha la Taarabu.
Duma anafanya maamuzi ya hali ya juu ya kujitoa kwenye Ulimwengu wa uovu na kumpa Stephen maisha mazuri lakini inashindikana anavutwa tena na kuzamishwa baada ya Kisasi cha kustukiza cha Masharubu.
Mahaba mapya ya Cheche na mke wake Cheusi yanasimishwa kwa muda baada ya kufika kwa mama yake Cheche mwenye usumbufu na mkali.

SUBSCRIBE: http://goo.gl/cR0mA

 

Maoni: