Siri ya Mtungi – Sehemu ya 22

SUBSCRIBE: http://goo.gl/cR0mA

Duma na shughuli zake za kiharifu zenye misukosuko mingi zinampeleka Dar ambako kuna faida kubwa pamoja na hatari kubwa. Nusura anahitaji mavazi makubwa ya ujauzito na amefika kipindi amabacho hamwamini tena Duma na hawezi kumtegemea Kizito.
Mzee Kizito anamatatizo yake, amepata ugonjwa wa zinaa na hajui ameambukizwa na nani. Anajitahidi kutafuta nani chanzo.
Cheusi anaonesha kua kuna uwezekano kua na wanawake wanaweza kufanikiwa maishani kama wakiamua iwe hivyo, hatimaye anamwonesha Cheche mipango ya jinsi gani atajiwezesha.
Ghafla Duma anamwomba nusura msaada na kitu flani..

 

Maoni: