Siri ya Mtungi – Sehemu ya 20

Sasa Duma hana sehemu ya kuishi baada ya kufukuzwa na Masharubu.Mwalimu Mwanga na mkewe Imani wanampa msaada Stephen kwa kuumpa chumba cha kulala ili aweze kusoma kwa amani.

Nusura yupo katika Kipindi cha kati cha ujauzito wake bila msaada wa Mumewe anaamua kwenda kupata msaada wa kujifungua katika kituo cha afya. Mda huo huo Cheusi anagundua zaidi kuhusu mahusiano ya cheche na lulu anavuruga mazoezi ya wanamitindo na kuvuruga studio.

Mzee kizo,farida na Nusura wanaingia Vitani.

SUBSCRIBE: http://goo.gl/cR0mA

 

Maoni: