Siri ya Mtungi – Sehemu ya 19

Mwalimu mwanga anagundua kua Stephen yupo matatizoni anampa hifadhi ya kukaa kwake, Duma anaahidi kumtunza mdogo ake.katika studio za Mtungi Shalimar anamwajili Lulu kuwa simamia warembo na wana mitindo mahili, Cheche hawezi wumilia mapinduzi ya biashara yake, matatizo ya kazini yanampa nafasi Cheusi kuelezea dukuduku lake na kufanya maamuzi yake kuhusu mpango mpya wa Uzazi wa mpago.lakini mahaba yao yanadumu kwa muda mchache baada ya Cheusi kukuta uso kwa uso na Lulu na wasiwasi wote wa cheche kuto kua mwaminifu unaibuka upya. Vishindo vya mototo wa Nusura alioko tumboni vinawaleta Karibu Nusura na Kizito. Lakini hakuna kinacho mzuia Farida kuangamiza huba hilo kwa nguvu na mali hata ikiwa kushirikiana na mganga wa kienyeji Daktari Kunguru.

Duma anakutana na Mnenguaji Rose, kwenye Hoteli alipokua anatumia pesazake alizo zipata kwa njia isio halali, lakini mambo ya kale bado yana mwinda, anakutana na adui yake wa zamani Masharubu. Lakini wanyonge ndio wanaoumia siku zote, Stephen anaona Chuki za Masharubu kwa Duma.

SUBSCRIBE: http://goo.gl/cR0mA

 

One Response to Siri ya Mtungi – Sehemu ya 19

  1. Emmanuel John says:

    Very nice….

     

Maoni: