Siri ya Mtungi – Sehemu ya 11

Duma anaingia katika biashara yenye tija na Golden. Hata hivyo furaha yake ya maisha ya juu inakatizwa pale anapolazimika kushughulikia tatizo lililomkumba mdogo wake, Stephen. Matokeo ya kujamiiana ovyo na msichana muuza machungwa yanatisha. Kwa Duma, huu ni wito kwake kuchukua tahadhari zaidi za kumtunza mdogo wake.

Tula anaanza kumchoka Cheche anayemtumia wakati wowote anaopenda.

Siye Nusura peke yake anayetambua kuwa ni mja mzito. Taarifa ambayo ingeleta furaha inamwingiza matatani wakati Farida anatishia kufichua maisha ya “siri” ya Nusura yaliyopita ili aipate tena nafasi yake ya kwanza kwenye nyumba ya Mzee Kizito.

—————————

Duma gets into a lucrative business deal with Golden. His celebration of the high life is cut short, though, when he has to deal with a crisis with brother Stephen. The consequences of Stephen’s casual sex with the orange seller are dire. For Duma, it’s a wake-up call to take better care of his kid brother.

Tula is beginning to tire of Cheche using her whenever he feels like it.

Nusura is not the only person who finds out she is pregnant. What should be joyous news throws her into turmoil as Farida threatens to reveal Nusura’s “secret” past and reclaim her number one position in Mzee Kizito’s household.

 

Maoni: