Poa Mambo Bado

Thandi ni binti mdogo, ameshavunja ungo na yuko tayari kwa mapenzi. Ni binti anayelazimisha kuwa mwanamke na anayapenda maisha ya mjini. Lakini anagundua kuwa bado kuna hatari pale David, mvulana mcheshi huko shuleni anapojaribu kumrubuni.

Maisha yake yanapoanza kwenda kasi na ulinzi wa wazazi unapoanza kuwa mbali Thandi anagundu kuwa kucheza na mapenzi kabla ya wakati ni sawa na kucheza na maisha. Filamu inaonyesha jinsi msichana wa mjini anavyogundua kuwa mapenzi si kitu rahisi. Hatari si za kupata mimba tu bali hata VVU/UKIMWI.

 

Maoni: