Nyuma ya Kamera 8 – Props Master

Angalia taswira hizi toka nyuma ya kamera katika wiki ya kwanza ya maandalizi ya msimu wa pili wa SYM. Tazama namna tamthilia hii maarufu Tanzania inavyotengenezwa na wahusika wake wakuu.

————-

Watch this exclusive behind the scenes look at the filming of Siri ya Mtungi Season 2. See how Tanzania’s popular television drama is created and who is involved in the process.

 

Maoni: