Nyuma ya Kamera 2 – Kizito

Angalia taswira hizi toka nyuma ya camera katika wiki ya kwanza ya maandalizi ya msimu wa pili wa Siri Ya Mtungi. Tazama namna tamthilia hii maarufu Tanzania inavyotengenezwa na wahusika wake wakuu.

————————

Watch this exclusive behind the scenes look at the first week of filming Siri ya Mtungi season 2. See how Tanzania’s popular television drama is created and who is involved in the process.

 

Maoni: