Angalia taswira hizi toka nyuma ya kamera katika maandalizi ya msimu wa pili wa SYM. Tazama namna tamthilia hii maarufu Tanzania inavyotengenezwa na wahusika wake wakuu.
————-
Watch this exclusive behind the scenes look at the filming of Siri ya Mtungi Season 2. See how Tanzania’s popular television drama is created and who is involved in the process.
SUBSCRIBE: http://goo.gl/cR0mA
Tunatamani kuona muendelezo wa sir ya mtungi you tube, lakin imeisha episode ya 26. Nawapongeza kwa kaz nzuri na yenye viwango vya juu