Nyimbo za Sharo Millionea Kwenye Siri ya Mtungi

Marehemu Sharo Millionea ambaye alikuwa msanii maarufu akiimba muziki kwenye tamthilia ya Siri ya Mtungi. Hii ilikuwa ni mara yake ya mwisho kuonekana kwenye TV kabla mauti haijamkuta. Kwenye tamthilia, mpiga picha Cheche Mtungi ambaye alipewa kazi ya kutengeneza video ya muziki wa bongo flava ya msanii huo maarufu. Akiongozana na mabaunsa wawili. Hofu iko kwa Cheche na msaidizi wake Shoti kufanya kazi nzuri.

—————————

The late great superstar Sharo Millionea sings in a music video on the tv show Siri ya Mtungi.  This was his last tv appearance before passing away. In the video, photographer Cheche Mtungi is assigned to make a music video for the bongo flava star Sharo Millionea. Accompanied by two big bodyguards, the pressure is on for Cheche and his assistant, Shoti, to do a good job.

 

Maoni: