Niulize, Nimeathirika

Steps for the Future Presents: Ask Me, I’m Positive (Kiswahili)

Thabo, Thabiso na Moalosi ni vijana wa mjini Basotho wenye lengo maalum. Wanasafiri kuonyesha sinema yao katika milima ya Lesotho kwa watu wa vijiji vya mbali vya Lesotho. Wakiwa sehemu ya kundi dogo la watu wa Basotho ambao wanaishi wazi na VVU, vijana hawa wanakuwa wawazi kuhusu hali yao kwa namna ambayo ni jasiri sana.

——————-

Thabo, Thabiso and Moalosi are young, urban Basotho men on a mission. They travel with a mobile cinema unit through the mountains of Lesotho, screening their film to remote communities. Part of a small group of Basotho people who live openly with the virus, these men open up about their situation in a way that is brave and honest.

 

Maoni: