Network (with English Subtitles)

Detective Demango akiwa amebakiza wiki tatu kazini, hajali na anajua siku zake za kukaa Dar es salaam zimekwisha. Anajisikia vibaya kutokana na kifo cha mkewe, na kuanza kujihusisha na ulevi wa pombe, na kukata tamaa kuendelea kutumia dawa za kupunguza makali ya VVU. Kwake huu ndiyo mwisho wa maisha mpaka anagudua kuwa kuna muuaji ambaye anafuatilia mahusiano yake ya kimapenzi.

Haya ni mambo ya kibinafsi… na muda unasonga.

—————————

When Detective Robert Demango, one of the forces’ finest, is given three weeks notice for lack of performance; he doesn’t give a damn. He knows his days as Dar es Salaams most celebrated detective are over. Riddled with guilt for his wife’s death, depressed and drinking heavily, he’s given up trying to adhere to his anti-retroviral treatment. For Demango, the game of life is over… until he discovers a serial killer is targeting his sexual network. This case is personal. But is there time to prove himself once again?

This case is personal… and the clock is ticking

 

Maoni: