Ndoto za Maisha Bora

Steps for the Future Presents: Dreams of a Good Life (Kiswahili)

Wanawake watano wanazungumzia maisha, mapenzi na jinsi gani ndoto zao kuhusu maisha yao ya baadaye zimebadilika toka walipogundua kuwa wameathirika na VVU. Hii ni filamu inayohusu ucheshi, hofu na faraja itakanayo na ushirikiano. Filamu hii inahusu VVU na wanawake.

——————

Five women talk about life, love and how their dreams for the future have changed since finding out that they are HIV positive. This is a film about laughter, fear and the solace of sharing. This is a film about HIV and women.

 

Maoni: