Ndoa ya Mashaka

Maisha ni kama kioo ukiyachekea nayo yana cheka Bwana Mashaka amekua tatizo katika maisha yake mwenyewe lakini ameshindwa kutambua hilo, hatimae mwisho wa siku anamwacha mkewe akijua hafahi lakini wajanja wanakuja kumchukua na kumwonesha mashaka kua tatizo halikimbiwi tatizo hutatuliwa. KARIBU

 

Maoni: