Mzee Yusuf na Wake Zake

Video hii ni nyuma ya pazia ya mwanamuziki wa Taarab Mzee Yusuf kutoka Tanzania. Ilirekodiwa nyumbani kwake. Video hii ni mahojiano ya Mzee Yusuf na wake zake akiwa anatoa ziara ya tuzo zake na vitu vingine vya nyumbani kwake.

 

Maoni: