My Flower – Part 2

My Flower – Ni filamu ya kusisimua inayohusu mapenzi ya Msanii Cheni na mpenzi wake. Wanaume wengi wanakupenda pale ukiwa bado hujapata ujauzito. Sasa mwambie tu kuwa unaujauzito wake. Angalia sura ya anavyokubadilikia. Fuatilia mkasa hapa…

Bofya link hii kuangalia Part 1 : https://www.youtube.com/watch?v=_cemuWewDi4

Steps Entertainment presents: My Flower – Part 1

Subscribe: http://goo.gl/cR0mA
Facebook: www.facebook.com/swahiliwood

 

Maoni: