Mwalimu Masemele – Part 2 (Bongo Movie)

Mwalimu Masemele – Masemele Kaka yeke Philipo (Mau Fundi) amefariki dunia mala tu baada ya kupangiawa nafasi ya kazi kama mwalimu. Mau fundi anaona hiyo ni fulsa nzuri ya yeye kwenda kwenye shure husika na kujitambulisha kama mwalimu Masemele japo hana Taaluma ya Ualimu. Mambo yanakua magumu kiasi cha kukimbia na kurudi shule kusaoma.

Bofya link hii kuangalia Part 1 :https://www.youtube.com/watch?v=MlBaFVTDpxM

Henry Mwakajumba Intertainment presents: Mwalimu Masemele Part 2

Subscribe: http://goo.gl/cR0mA
Facebook: https://ift.tt/2A6nDNP

 

Maoni: