Mpira

Steps for the Future Presents: The Ball (Kiswahili)

Mahali fulani kwenye uwanja wa vumbi nchini Msumbiji, kundi la wavulana wanacheza mpira. Ghafla, mwanaume mmoja anakimbia uwanjani akipiga kelele. Anasimamisha mchezo na anawashutumu wale wavulana kwa kuiba kondomu zake. Kuna njia nyingi za kutumia kondomo na nchini Msumbiji, wavulana wadogo ndo watumiaji wakubwa.

——————–

Somewhere on a dusty soccer pitch in Mozambique, a group of boys are playing a game of soccer. Suddenly, a man runs onto the field, shouting. He stops the game and accuses the boys of stealing his condoms. There are many ways to use condoms, and in Mozambique little boys are great consumers of them.

 

Maoni: