Mjomba – Part 2

Mjomba ni filamu ya kusisimua, Inayohusu mapenzi, chuki, uaminifu, kutoaminiana na mangine mengi. Mapenzi ni kitu kizuri pale watu wawili wanakaa pamoja na kuelewana, kueshimiana lakini, kukiwa na usaliti, mapizi ni kitu kibambaya sana na kinaweza kutoa uhai wa mtu. Filamu hii inaelezea njisi usaliti na kutoaminiana kunaweza kuwagarimu watu wawili au zaidi na kuelekea hadi mauaji. Angalia filamu hii ya kusisimua. Toa maoni yako.

Bofya link hii kuangalia Part 1 : https://www.youtube.com/edit?o=U&video_id=TN8Y8V2mkEw

Whatever Film Productions presents: Mjomba – Part 2
Bongo movie | Filamu | Swahili

Bongo Movie / mapezi / chuki / usaliti/ swahili

Subscribe: http://goo.gl/cR0mA
Facebook: www.facebook.com/swahiliwood

 

Maoni: