Mario – Part 2

Mtu anapo kosa kitu anacho kipenda mara nyingi hukumbilia kwenye kitu kingine ambacho kwake linakua chaguo la pili, Kijana Mario baada ya kuachika kwa mpenzi wake wa pekee basi anaamua kutafuta mtu wa kummalizia hasira na Upweke na hapo ndipo ule usemi wa hasira ni hasara unapo timia. KARIBU

SUBSCRIBE: http://goo.gl/cR0mA

 

Maoni: