Mapigano ya Kungfu kwenye Siri ya Mtungi

Shoti anakabiliana na jamaa mwenye wivu kwa kuongea na mpenzi wake. Baada ya kuona picha ya mapigano ya Kungfu na kujifunza mtindo huo wa mapigano. Shoti yuko tayari kwa mapigano. Je ataweza kumshinda mpinzani wake? Hii inatokea katika sehemu ya 13 ya Siri ya Mtungi.

—————-

Shoti is confronted by a man who is jealous that Shoti is talking to his girlfriend. After watching a kung fu film and learning some moves, Shoti is prepared for the fight, but will he manage to defeat his opponent? From episode 13 of Siri ya Mtungi.

 

Maoni: