Mama Ntilie – Part 2

Mama Ntilie, Ni filamu ya kusisimua, Mboni ni msichana mzuri anayeishi na mume wake pamoja na mdogo wake. Wanafanya biashara ya mama ntilie, lakini mtaji na faida zake zote. Zinaishia kwa mume wake kwa matumizi yake binfsi. Sasa mume anakula mtaji wote. Nini kinatokea? Fuatilia kisa chake..

Bofya link hii kuangalia Part 1 : https://www.youtube.com/edit?o=U&video_id=RJkR7ZIyN1A
Steps Entertainment presents: Mama Ntilie – Part 2
Bongo Movie / mapezi / chuki / usaliti / swahili

Subscribe: http://goo.gl/cR0mA
Facebook: www.facebook.com/swahiliwood

 

Maoni: