Maharagwe kwa Afya Njema

Wanamziki maarufu toka Rwanda Wanahamasisha lishe ya maharagwe kuboresha afya zakina mama na watoto! Wasanii (King James, Miss Jojo, Riderman, Tom Close, and Urban Boyz) wamejitolea muda na vipaji vyao kwa afya ya wanarwanda. Sambaza wimbo huu na usaidie Rwanda kumaliza tatizo la utapiyamlo! http://www.harvestplus.org

Karibia 40% ya watoto wa Rwanda hawapati madini chuma yakutosha na kusababisha afya mbaya. Maharagwe ni chakula kinacho pendwa nchini Rwanda na huliwa kilasiku. Sasa, maharagwe mapya yenye virutubisho asilia vya madini ya chuma yana enea inchi nzima.

—————

Rwanda’s top musicians promote a nutritious food–beans–that can improve children’s and women’s health! The artistes (King James, Miss Jojo, Riderman, Tom Close, and Urban Boyz) have donated their time and talent for a healthier Rwanda. Please share this groundbreaking song widely and help Rwanda say goodbye to malnutrition! http://www.harvestplus.org

SUBSCRIBE: http://goo.gl/cR0mA