Kumbe Unajua Kiingereza – Cheka na Mimi

Kuna muda unataka kuonesha ulimwengu kuwa unajua vitu vingi sana lakini matokeo yake Ulimwengu unakuonesha kua unajua zaidi yako. bwana Mau anataka kumwonesha mrembo wake kua yeye ni nguli wa Kiingereza na hatimae anajikuta mpole na kuaibika zaidi badala ya kupata Sifa. KARIBU

SUBSCRIBE: http://goo.gl/cR0mA

 

One Response to Kumbe Unajua Kiingereza – Cheka na Mimi

  1. Ahmed says:

    Kwali kuna binaadamu wanaopenda sifa

     

Maoni: