Kitendawili – Part 1

Kitendawili inayokukutanisha na mwanadada Nadia ambae kama watu wengi, ammekuja Dar es Salaama kutoka kijijini kwao. Akiwa na mpenzi wake, Ibrahim, Nadia yuko katika harakati za kutafuta maisha mazuri.

Je ataweza kupata vyote anavyokusudia au atahatarisha kila kitu alichonacho kwa maamuzi yake?

We meet Nadia after she has made the all common move from her rural village to Dar es Salaam. Her love Ibrahim, showers her with support in her effort to get her idea of a good life but a dark secret shadows her.

Will she succeed or will the city temptations prove too much for her?

SUBSCRIBE: http://goo.gl/cR0mA

 

Maoni: