Jambo na Vijambo – Sehemu ya 1

Jambo Na Vijambo ni kipindi kinachojadili maisha ya wa Tanzania, kijamii, kiuchumi, kisiasa na kitamaduni kupitia njia ya ucheshi, utani na kuambizana ukweli.

SUBSCRIBE: http://goo.gl/cR0mA

Bongo movie – Bongo Film – Tanzania Comedy

 

2 Responses to Jambo na Vijambo – Sehemu ya 1

  1. Husna says:

    hahaha… hii ni safi sana!!

     
  2. masoud says:

    kazi nzuri sana

     

Maoni: