Ho Ea Rona

Steps for the Future Presents: Ho Ea Rona (Kiswahili)

Marafiki wanne wameathrikika na virusi vya UKWIMI: Thabiso alikuwa mwanamasumbwi wa kitaifa; Thabo ni DJ; Bimbo ni msomi; na Moalosi ni mwanaharakati kuhusiana na masuala ya UKIMWI. Wanakutana kujadili maisha yao, kulia, kukumbuka maisha yao ya nyuma — ila pia, muhimu zaidi, kucheka.

——————–

Four friends are HIV positive. Thabiso was a national boxer; Thabo is a DJ; Bombo is an intellectual; and Moalosi an AIDS activist. They meet to reflect on their lives, to cry, to reminisce- but also, most importantly, to laugh.

 

Maoni: