Hali Nzuri

Steps for the Future Presents: Looking Good (Kiswahili)

Daktari wake Moalosi Thabani anamwambia kuwa hali yake ni nzuri. Lakini yeye Thabani hajisikii vizuri kila wakati. Katika makala hii, tunafuatilia maisha ya Moalosi Thabani kwa miezi kumi na mbili pindi anapoanza kutumia vidonge vya kupunguza makali ya VVU/UKIMWI. Tunamuona wakati akipata nafuu pamoja na msaada anaopata kutoka kwa familia na marafiki zake, na pia anapokata tamaa, akikiri hofu zake mbele ya kamera. Katika matatizo na raha, Thabani anajifunza namna ya kuishi kwa matumaini wakati akitunza afya yake.

——————-

According to his doctor, Moalosi Thabani is looking good. He doesn’t always feel so good, though. In this documentary, we follow Moalosi for twelve months, as he begins antiretroviral treatment. We see him when he is thriving with the support of friends and family, and when he is discouraged, confessing his fears to the camera. Through all the ups and downs, he is learning how to live positively, caring for his health and nurturing his hope.

 

Maoni: