Enika – Changanya Changanya

Angalia nyimbo zake, ‘Changanya Changanya’ ya Enika, muingizaji mkuu akiwa ni Elizabeth Michael (a.k.a Lulu). Hizi nyimbo ni sehemu ya muziki wa Mseto Wahapahapa. “Huku baki, huku twende, huku fanya, huku acha, sasa nimsikilize nani?”.

————–

One of the Mseto Wahapahapa music videos produced by MFDI Tanzania and directed by Jordan Riber. Mseto Wahapahapa is a album and music video DVD featuring Tanzania’s leading musicians such as Banana Zorro, Lady Jaydee, Mzee Yusuph, Flora Mbasha and many more.

 

Maoni: