Dhana Season – Sehemu ya 14

Dhana Season – Ni Tamthilia ya Kitanzania inayofundisha pia kusisimua na kukuburudisha, Dhana imegawanyika sehemu mbili, dhana chanya na dhana hasi. Kama ambavyo ilivuo kwenye tamthilia hii pale ambapo mhusika mkuu WALLY anaposhinikinzwa kuoa ndugu zake kutokana na dhana iliyojengeka kati yake na mhusika mkuu wa kike ASHURA

Subscribe: http://goo.gl/cR0mA
Facebook: https://ift.tt/2A6nDNP

 

Maoni: