Consequences

Rita ana sifa nyingi nzuri — ni mwerevu, ana kipaji na ana mpenzi wa muda mrefu. Anategemea kumaliza elimu ya Sekondari muda mfupi ujao na ana mpango wa kujiunga na Chuo Kikuu. Akiwa na miaka 16, inaonekana kuwa maisha yake yanamuendea vizuri sana — hadi pale anapogundua kuwa ni mjamzito. Matokeo yake ni ya kushangaza.

———–

Rita has a lot going for her- she is bright, talented, and has a steady boyfriend. She is soon to graduate from secondary school and has plans to go to university. At 16, it seems that life is at its peak- until she discovers that she is pregnant. The consequences are staggering.

 

Maoni: