Black Valentine – Part 2

Nimuda mrefu tangu mauaji ya kinyama yaanze, na Jeshi la porisi linaonekana kuelemewa kwani hakuna ushahid wa kuwatia nguvuni waarifu. lakini kama waswahili wanavyo sema chenye mwanzo hakikosi na mwisho ni siku za mwizi ni arobaini. Jionee mwenyewe nini kilicho tokea.KARIBU.

SUBSCRIBE: http://goo.gl/cR0mA

 

2 Responses to Black Valentine – Part 2

 1. BENEDICTO says:

  Kwakweli sijaipenda ni mbaya na waigizaji wake wanarudia rudia maneno Mara kwa Mara na wanajichanganya kujibu kituoni wanapo hojiwa na polic yule mama aliepotelewa mtoto wake,ongezen juhuudi sana

  Na nyie SWAHILIHOOD MOVIES muwe mnapima ubora wa movie ndio mna ia upload humu lasivyo mtajishushia kiwango.

   
 2. BENEDICTO JOSEPH says:

  Ipo chini ya kiwango tena saaaaana

   

Maoni: