Banana Zoro Akirekodi Zoba

Angalia nyuma ya pazia ya Banana Zoro akirekodi katika studio ya mtaani wimbo wake maarufu wa Zoba. Video hii ni sehemu ya makala ya Mwamba Ngoma.

——————

Watch behind the scenes footage of Banana Zorro recording his famous song Zoba at a local recording studio. This video is part of the Mwamba Ngoma documentary video.

 

Maoni: