Bahasha

Bahasha ni filamu inayoelezea madhara ya rushwa katika jamii. Katika filamu hii mwenyekiti wa serikali ya mtaa anaonekaa kuisaliti familia yake, marafiki wake na jamii kwa jumla anapokula mlungula.

Anajipata kati wakati mgumu na inamlazimisha kupambania ili kuikomboa jina lake na kurudisha heshima yake katika jamii.

Subscribe: http://goo.gl/cR0mA
Facebook: http://bit.ly/2A6nDNP

#Bahasha #MlungulaNoma

 

Maoni: